Wednesday, September 19, 2012

TID ALIA KUNYIMWA SHOW ZA FIESTA KWA MIAKA MITANO


 Khaleed Mohamed aka TID now ameamua kuwa kutoa ya Moyoni katika kila jambo linalomkera. Siku moja baada ya kukaririwa akizungumzia juu ya issue yake dhidi ya Ali Kiba, leo ‘Sauti ya Dhahabu’ hitmaker amezungumzia juu ya suala lake la kutokuwepo katika listi ya wasanii wanao-perform katika the biggest music concert in Tanzania Fiesta.
Kupitia his official facebook account TID ameandika status inayosomeka kama ifuatavyo:
I wiSh I coUld maKe the Guy Who does the FieSta Listing be oN my SiDe some PeoplE are workin verY Hard to juSt makE me Look like Criminal so I can not be on List Lakini Mungu atanipa Better than Fiesta tho its Been 5 years am nt Part of It”.

No comments:

Post a Comment