Mkutano
huo uliohudhuriwa na Marais wa Kamisheni hizo tatu Celestino Mindra
(UPBC) Memba Muriuki (KPBC) na Onesmo Ngowi (TPBC) uliweka uongozi wa
Shirikisho la ECAPBF kama ifuatavyo: Onesmo Ngowi (Tanzania) – Rais
Celestino Midra(Uganda) – Makamu wa Kwanza wa Rais Memba Muriuki (Kenya)
– Makamu wa Pili wa Rais Shaaban Ogola (Kenya) Katibu Mkuu wa ECAPBF
Nemes Kaviehe (Tanzania)Mweka Hazina Mkuu wa ECAPBF Paul Chiwa (Uganda)
Afisa Uhusiano na habari Mkuu wa ECAPBF.
No comments:
Post a Comment