Monday, September 24, 2012

MH. SUGU ALIPOHUDHURIA MISA YA SHUKRANI YA MH. DR HARISON MWAKYEMBE KIJIJINI KYELA

Mh Joseph Mbilinyi akisalimiana na Mh Samwel Sita 

Prof : Mark Mwandosya akisikiliza kwa makini kilicho kuwa kiki endelea 

Mbunge wa kwela Dkt  .Mwakembe Akimkalibisha mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi ( SUGU ) Azungumze jambo na wana mbeya 


.....Kweli wewe SUGU asante sana kwaku zungu mza na Wananchi wa kwela hayo yakiwa ni maneno ya Mh Mwakyembe 

No comments:

Post a Comment