Tuesday, September 11, 2012

MBEYA CITY FC YAFUNGWA 1-0 NA SERENGETI BOY'S



Mbeya City FC imeshindwa kutamba nyumbani katika mechi ya kirafiki dhidi ya Timu ya Taifa “SERENGETI BOY'S” baada ya kujikuta ikifungwa bao 1-0 mechi iliyochezwa jioni hii katika uwanga wa Sokoine Jijini Mbeya.

No comments:

Post a Comment