Wednesday, September 12, 2012

Ikulu ya White House imethibitisha kifo cha balozi wa marekani nchini Libya Chris Steven

Ikulu ya White House imethibitisha kifo cha balozi wa marekani nchini Libya Chris Stevens, katika shambulio dhidi ya ubalozi wa marekani mjini Benghazi.

Rais Obama amelaani kile alichokitaja kuwa shambulio la kuudhi ambapo wamarekani wanne waliuwawa. Huyu ni mmoja wa walioshambulia ubalozi huo akiwa hapo na bunduki yake
 
Athari za mashambulizi hayo
 

No comments:

Post a Comment