Friday, October 9, 2009

Mwanariadha asiye ona (KIPOFU)

Mwanariadha mlemavuwa macho Henry akiwa na running patner wake Joseph
mwanariadha kutoka kenya henry wanyoike ni kipofu lakini hakutaka kujiweka kando kutokana na ulemavu wake,henry hakuzaliwa na ulemavu huu bali aliupata baada ya kupata stroke siku moja ya mwaka 1995 na kujikuta amepoteza uhai wa macho yake.henry ambae alishajipatia medani ya dhahabu kwa kukimbia km 5000 na zingine kibao kwa kuwa mwanariadha asieona.

No comments:

Post a Comment