Afande Sele na mambo yake Msanii Akon na mwenzake Wyclife Jean wakifanya vitu hivi.sasa nimeshindwa kuelewa kwamba hii nayo ni moja ya vionjo vya muziki au inakuwaje??maana yaweza kuwa mimi ni mgeni katika mambo haya hivyo tusaidiane kuwekana sawa jamani .
No comments:
Post a Comment