Monday, October 19, 2009

PUNDA AFE...???

Clouds fm yazindua frikwensi mpya shinyanga


Kulia ni mkurugenzi wa Clouds Media Group/prime time promotions Bw.Joseph Kusaga akipeana mkono na mgeni rasmi,Katibu tawala wa Mkoa wa Shinyanga Mh. William Nsanzugwanko mara baada ya uzinduzi wa masafa mapya ya Clouds 92.3 FM Shinyanga

Haya nayo burudani katika muziki .

Afande Sele na mambo yake

Msanii Akon na mwenzake Wyclife Jean wakifanya vitu hivi.sasa nimeshindwa kuelewa kwamba hii nayo ni moja ya vionjo vya muziki au inakuwaje??maana yaweza kuwa mimi ni mgeni katika mambo haya hivyo tusaidiane kuwekana sawa jamani .

Thursday, October 15, 2009

Is Your Money Really Safe in the Bank?

Is Your Money Really Safe in the Bank?

Seems that even financial gurus are hurting in this economic downturn. Suze Orman recently teamed up with the FDIC in an endorsement campaign engineered to assure you that your money is safe in US banks. But as Robert says in his latest Conspiracy of the Rich bulletin, while your money might be physically safe in the bank – you could still be losing.

"Suze claims that no one has lost money deposited in a bank that was insured by the FDIC. That may be true, but how do you define losing money? The true picture is that the Fed is printing trillions of dollars. This means you may not be losing your dollars, but your dollars are being diluted with trillions in counterfeit money. Parking your dollars in an insured bank causes them to lose purchasing power as commodities such as gold and oil are going up in price. "

– Excerpt from Robert’s Conspiracy of the Rich Bulletin

Learn how to protect your money better than the FDIC ever could.

Friday, October 9, 2009

Napiga kula GVAdvocacy, wewe je ?

Kuna raha kubwa kuwa na uwezo wa kutumia teknolojia mpya za mawasiliano kwa uhuru bila woga au kizuizi chochote. Ziko nchi ambazo uhuru huu ni ndoto. Ndio maana kukawa na mradi wa Global Voices Advocacy (www.http://advocacy.globalvoicesonline.org/) ambao kazi yake ni kutetea uhuru wa kujieleza mtandaoni bila woga. Wakati tuko sisi tunaoweza kujieleza bila woga mtandaoni, wako wenzetu ambao wakifungua mdomo tu kukosoa wezi wenye vyeo kama rais, waziri mkuu, na wengine, basi jela itawaita. Kwa sababu hii, ninaupenda mradi huu na ninaupigia kura. Kura hii inaweza kusaidia mradi huu kupata dola 3,000 za Kimarekani. Kura yenyewe inapigwa kwa kuandika kuhusu GV Advocacy.

Hata wewe kama unaupenda unaweza kuupigia kura kwa kuandika kwenye blogu yako kama nilivyoandika. Maelezo yenyewe utayapata kwenye anuani hii: http://www.zemanta.com/bloggingforacause/

TAhadhari kwa watumiaji wa mtandao (E-MAILs)


Watu wanaotumia email za Gmail, Hotmail na Yahoo wanashauriwa kubadili password zao haraka iwezekanavyo baada ya watu wasiojulikana kuhack maelfu ya email za watu na kisha kuziweka hadharani kwenye mitandao.



Awali siku chache zilizopita watumiaji wa email za Hotmail walishauriwa kubadili password zao baada ya watu wasiojulikana kuzihack email 10,000 za Hotmail na password zake na kisha kuziweka kwenye website ya Pastebin.com ambayo wataalamu wa kutengeneza website toka kona mbali mbali duniani humegeana ujuzi walio nao.


Wakati Microsoft ikiwashauri watumiaji wa Hotmail wabadili password zao, orodha nyingine ya email 30,000 za Yahoo, Gmail, AOL, Comcast na Earthlink pamoja na password zake imesambazwa kwenye mitandao duniani.

Ukiachilia mbali email hizo 40,000 ambazo ziliwekwa kwenye internet, haijajulikana ni watu wangapi watakuwa wameibiwa email na password zao hadi sasa.Email hizo ziliibwa baada ya wezi wa email hizo kutengeneza website feki zinazofanana na Yahoo, Hotmail, Gmail n.k ili kuwachuuza watu waandike email na password zao wakidhania wanaingiza kwenye tovuti husika kumbe ndio wanawapa mikononi wezi hao email na password zao.

Staili hiyo ya wizi hujulikana kama "Phishing" na browser nyingi mpya kama vile internet Explorer 7 na Mozilla FireFox zina programu ndani yake kwaajili ya kukulinda na wizi kwa njia ya "Phishing".
Hofu kubwa ni kwamba wahalifu wa kwenye mitandao wanaweza wakatumia email hizo kuiba vielelezo muhimu vinavyohitajika kwaajili ya akaunti za benki na credit card.Kwa mfano fikiria mtu akishapata email na password yako ataweza kujua majina yako kamili na tarehe yako ya kuzaliwa vitu ambavyo anaweza akavitumia kukamilisha wizi wake.
Pia kama utakuwa umehifadhi kwenye email yako au uliwahi kumtumia mtu email yenye vielelezo vyako vya benki na hukuifuta basi wezi hao wa mitandao kazi yao itakuwa imerahisishwa zaidi.Yahoo, Gmail na Hotmail wamewashauri watumiaji wa email zao wawe na tabia ya kubadilisha password zao kila baada ya siku 90.

The U.S President Barack Obama is the 2009 Nobel Peace Prize winner .


The U.S President Barack Obama (pictured) is the 2009 Nobel Peace Prize winner for "his extraordinary efforts to strengthen international diplomacy and cooperation between peoples."
He has got this Prize for giving the world citizens a hope for the better future. Obama was elected as the first African-American president of the United States of America in November 2008.

The Norwegian Nobel Committee said it attached special importance to Obama's vision of and work for a world without nuclear weapons."Obama has as president created a new climate in international politics. Multilateral diplomacy has regained a central position, with emphasis on the role that the United Nations and other international institutions can play," the committee said on its website.
"Only very rarely has a person, to the same extent as Obama, captured the world's attention and given its people hope for a better future. His diplomacy is founded in the concept that those who are to lead the world must do so on the basis of values and attitudes that are shared by the majority of the world's population," the committee said.
There were a record 205 nominations for the 2009 peace prize, of which 33 were organizations.
Last year, former Finnish President Martti Ahtisaari won the peace prize for his mediation efforts. The peace prize was the fifth of this year's Nobel awards, which are also made for medicine, physics, chemistry and literature.
The prizes were endowed by Swedish industrialist Alfred Nobel, the inventor of dynamite.The Nobel Peace Prize - worth 10 million kronor ($1.4 million dollars) - is scheduled to be presented in Oslo Dec 10.

Mwanariadha asiye ona (KIPOFU)

Mwanariadha mlemavuwa macho Henry akiwa na running patner wake Joseph
mwanariadha kutoka kenya henry wanyoike ni kipofu lakini hakutaka kujiweka kando kutokana na ulemavu wake,henry hakuzaliwa na ulemavu huu bali aliupata baada ya kupata stroke siku moja ya mwaka 1995 na kujikuta amepoteza uhai wa macho yake.henry ambae alishajipatia medani ya dhahabu kwa kukimbia km 5000 na zingine kibao kwa kuwa mwanariadha asieona.

Monday, October 5, 2009

Popote kambi lakini hatari


Hawa watoto kama nilivyo wakuta mitaa ya Air Port hapa jijini Mbeya, Baada ya kuwa uliza maswari mawili matatu wakaniambia kuwa wanatafuta mabaki ya mikaa ili wauze na kupata kiingilio cha Video show . Je kweli wazazi na vijana wenzangu kama watoto hawa wange'liku wa nausimamizi mzuri siwange kuwa shuleni ? (Ili kuwa mida ya saa 4:30 asubuhi)

The Definition of Stupidity?

We all know the definition of stupidity is doing the same thing over and over again and expecting different results. Yet, isn’t that what conventional investing advice asks of us – to keep investing for the long term, even when markets are crashing, and expect different results?

"In my lifetime, I have lost a lot of money. Yet with most losses came a valuable lesson. The primary reason I say this caller is asking a stupid question is because I believe she not only is failing to learn a lesson, she is actively making the same mistake. She is living out the definition of stupidity: Doing the same thing over and over again, and expecting different results."

Friday, October 2, 2009

Mangwear akiwa mwishoni mwishoni kumalizia album yake itakayokwenda kwa jina la NG'E 1892, ametoa wimbo mwingine akimshirikisha Babuu wa kitaa unaokwenda kwa jina la WAR KITAA. Wimbo huu ametengenezwa pale kwa Master Jay chini ya mtu mzima Marco Chali.
USIKILIZE WIMBO HUU HALAFU UNIPE MAONI YAKO.


Haya ndio mambo ya vibajaj hapa mkoani . kama inavyo onekana maeneo ya mwanjela saivi ni hatari kwa watoto , kutokana na mwendo kasi wa madeleva wa bajaj .
Maeneo hatari kwa ajari ni Ilemi darajani na Makunguru kwani wana jiachia sana .
Baada ya tour yenye mafanikio katika jiji la Kuala Lumpur-Malaysia
AY sasa ataperform LIVE katika miji hii:

DAR - Tarehe 3rd Oct: Show ROAD TO MAMA.
Venue: Billicanas (Ataperform pamoja na D'Banj, Prof Jay na Shaa)

JOHANNESBURG - Tarehe 4 Oct: Show BIG BROTHER AFRICA.

NAIROBI - Tarehe 10 Oct: Show MTV AFRICA MUSIC AWARDS.
Venue KASARANI STADIUM
(Ataperform pamoja na AKON, WYCLIF JEAN, FALLY IPUPA, D'BANJ na WAHU)

PIA ANAWAKUMBUSHA KUWAPIGIA KURA SANA NA SANA YEYE AY NA SHAA.