Miili ya wanafunzi wa shule ya msingi imezu ikichukuliwa na askali wa usalama barabarani ,watoto hao walikuwa wakivuka barabara akielekea shule ijapokuwa roli lililo sababisha ajali haliku wimama nahivyo kukimbia kusiko julikana huku miili ya watoto hao ikiwa imegawanyika vipandevipande ajali hiyo imetokea mida ya saa moja na nusu asubuhi

Friday, November 2, 2012
AJALI MBAYA:::WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI IMEZU INYALA MBEYA WAGONGWA NA ROLI NA KUFARIKI PAPO HAPO
Miili ya wanafunzi wa shule ya msingi imezu ikichukuliwa na askali wa usalama barabarani ,watoto hao walikuwa wakivuka barabara akielekea shule ijapokuwa roli lililo sababisha ajali haliku wimama nahivyo kukimbia kusiko julikana huku miili ya watoto hao ikiwa imegawanyika vipandevipande ajali hiyo imetokea mida ya saa moja na nusu asubuhi
Thursday, November 1, 2012
MAUWAJI YA KINYAMA IRINGA ,DEREVA BODA BODA AUWAWA
Askari wakitazama Helment ya dereva boda boda iliyokuwa imeweka juu ya miti |
mwili wa Dereva boda boda Abeli Nyunza aliyeuwawa ukiwa umetupwa katika korongo |
Polisi wakiwa eneo la tukio |
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la Muungano Frelimo mjini Iringa jirani na shule ya msingi Muungano.
Wakielezea juu ya tukio hilo mashuhuda waliozungumza na mtandao huu wamedai kuwa majira ya usiku walisikia mlio wa pikipiki na ghafla ulizimika na baada ya hapo ilisikika sauti ikiita kwa nguvu Peter ! Peter ! mfano wa mtu aliyekuwa akiomba msaada na baada ya dakika kama 10 hivi ukimya ulitanda na ghafla ulisikika mlio wa pikipiki ukiondoka kwa kasi.
Mwenyekiti wa boda boda mjini Iringa Macurius Chengulla mbali ya kuthibitisha kifo cha dereva boda boda mwenzao huyo bado amesema kuwa wameweka mkakati wa kuendesha msako ili kuwabana wahusika wa mauwaji hayo.
Chengulla amesema kuwa matukio hayo ya kuuwawa kwa madereva boda boda kwa Manispa ya Iringa ni tukio la kwanza kwa mwaka huu japo matukio ya kutekwa na kujeruhiwa yamekuwa yakitokea . Picha zote kwa hisani ya Francis Godwin blog
Thursday, October 4, 2012
MBEYA LEO TUMEPATA MSIBA MKUBWA SANA,TUMEONDOKEWA NA RAFIKI WA WATU,FATHER SLAATS (84) AMBAYE ALIKUWA KATIBU WA ASKOFU KANISA KATOLIKI JIMBO LA MBEYA MJINI
![]() |
.pichani Mh mbilinyi alipomtembelea kwenye makazi yake mara ya mwisho Jumapili ya tar 16 Sept,ambapo father alimuombea kama ilivyo kuwa kawaida yake waki kutana ... |
TANZIA: MBEYA LEO TUMEPATA MSIBA MKUBWA SANA,TUMEONDOKEWA NA RAFIKI WA WATU,FATHER SLAATS (84) AMBAYE ALIKUWA KATIBU WA ASKOFU KANISA KATOLIKI JIMBO LA MBEYA MJINI...FATHER SLAATS NI MHOLANZI LAKINI ALIIPENDA SANA TANZANIA NA HATA KUCHAGUA KUFIA TANZANIA NA ZAIDI MBEYA...BINAFSI NIMEMPOTEZA MZEE WANGU NA RAFIKI YANGU MKUBWA NA ZAIDI ALIKUWA MSHAURI WANGU MZURI NA MUHIMU ALWAYS..FATHER SLAATS NDIYE MUANZILISHI WA PAROKIA KUBWA YA RWANDA MJINI MBEYA AMBAKO ALIANZA NA KANISA DOGO NA SASA KUNA UJENZI WA KANISA KUBWA UNAENDELEA...R.I.P BABA PAROKO FATHER SLAATS...RAHA YA MILELE AKUPE BWANA,NA MWANGA WA MILELE ATAKUANGAZIA....
Wednesday, October 3, 2012
Diamond Sasa Rasmi Chini Ya I-view media studios
Friday, September 28, 2012
VIDEO MPYA YA IZZO BIZNESS KUANZA KURUSHWA LEO
Izzo Bizness ft. Belle 9 - Utarudishwa video ambayo inatarajiwa kutoka leo katika tv stesheni zote hapa Bongo na kwenye Social Networks pia utaweza kuiona video hiyo. Video imefanywa na kampuni ya
E-Media chini ya Dir Nick Dizzo, na ni video kali kweli kweli
Thursday, September 27, 2012
HONGERA KAKA MKUBWA SUGU KWA KUPATA MTOTO WA ( SASHA-DESDERIA J. MBILINYI ) KIKE
Amazing grace!..I thank GOD for giving me a baby girl born today on 26th Sept,her name is SASHA-DESDERIA J. MBILINYI..she is my new darling and my everything now...May God also bless me and her monther Faiza so we can live longer enough to see her grow... hii ni kutoka kwenye Facebook page ya SUGU
Tuesday, September 25, 2012
MARTIN KADINDA kwenye NIRVANA ya EATV hivi karibuni
Pichani ni Deo Kithama wa Nirvana ya EATV akifanya mahojiano na Martin Kadinda kuhusiana na fashion show aliyoifanya hivi karibuni USA....
INTERVIEW ITAKUJIA KWENYE NIRVANA HIVI KARIBUNI MSIKOSE.
NIRVANA NI KILA JUMANNE SAA MOJA USIKU.
INTERVIEW ITAKUJIA KWENYE NIRVANA HIVI KARIBUNI MSIKOSE.
NIRVANA NI KILA JUMANNE SAA MOJA USIKU.
MIKOBA YA KANUMBA SASA YARISIWA NA SETH BOSCO
MSANII Seth Bosco ambaye ni mdogo wake na msanii nyota aliyetikisa tasnia ya filamu nchini marehemu Steven Kanumba amekusudi kufunika pengo liloachwa na marehemu kaka yake akiongea na Mwanaspoti msanii huyo amesema katika kumuenzi kaka yake ni kuhakikisha kuwa kampuni inaendelea na kufanya kazi za filamu zenye nzuri na ubora.
Seth Bosco akiongea na vyombo vya Habari havipo pichani
Filamu ya Malaika filamu ya kwanza akiwa kinara
Filamu ya Malaika filamu ya kwanza akiwa kinara
“Baada ya kumaliza msiba na taratibu zingine kampuni ya Kanumba Great Film inaendelea na kazi zake kama awali na kufanya katika ufanisi wa hali ya juu, nakumbuka hosia wake juu yangu na kwa kufuata hayo namuenzi kwa kutengeneza filamu ya Malaika ambayo mimi ni mhusika,”anasema Seth.
Seth licha ya kuwa ni mdogo wake na marehemu lakini pia ndio aliyekuwa mtu wa karibu na marehemu Kanumba, katika filamu hiyo ya Malaika Seth anaigiza na mwanadada Rose Ndauka ambaye pia aliwahi kufanya kazi na marehemu, wasanii wengine wanaoshiriki katika filamu hiyo ni Abdalah Mkumbila ‘Muhogo Mchungu’, Maya na wengine wengi.
Monday, September 24, 2012
VURUGU KANISANI: ASKOFU MOKIWA ANUSURIKA KIPIGO KUTOKA KWA WAUMINI, AOKOLEWA NA POLISI
Mmoja wa waumini wa kanisa la Anglikana la watakatifu wote la mjini Sumbawanga akiwa na jazba wakati wa vurugu zilizoibuka jana mara baada ya kutolewa uamuzi wa nyumba ya maaskofu wa kuridhia askofu Mathayo Kasagara kuwa kiongozi wao ambapo vurugu kubwa zilizuka na kusababisha askofu Mkuu wa kanisa hilo Dk Mokiwa kuondolewa akiwa chini ya ulinzi wa polisi.
Askofu Mkuu wa Angikana Tanzania,la Dk. Valentino Mkowa aliyevuliwa kofia ya kiaskofu akiwa chini ya ulinzi wa polisi waliokuwa wamevalia kiraia wakimtoa nje ya Kanisa la Anglikana la watakatifu wote mjini Sumbawanga baada ya kuzuka kwa vuguru kubwa
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania la Dk. Valentino Mkowa leo amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kunusurika kupata kipigo kutoka kwa waumini wake waliokuwa wenye hasira kali.
Vurugu kubwa ziliibuka mara baada ya kusomwa kwa tamko lililothibitisha
Vurugu kubwa ziliibuka mara baada ya kusomwa kwa tamko lililothibitisha
MH. SUGU ALIPOHUDHURIA MISA YA SHUKRANI YA MH. DR HARISON MWAKYEMBE KIJIJINI KYELA
Mh Joseph Mbilinyi akisalimiana na Mh Samwel Sita |
Prof : Mark Mwandosya akisikiliza kwa makini kilicho kuwa kiki endelea |
Mbunge wa kwela Dkt .Mwakembe Akimkalibisha mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi ( SUGU ) Azungumze jambo na wana mbeya |
.....Kweli wewe SUGU asante sana kwaku zungu mza na Wananchi wa kwela hayo yakiwa ni maneno ya Mh Mwakyembe |
Friday, September 21, 2012
WEMA SEPETU , AUNT EZEKIEL WAWASILI MBEYA
Wasanii wa Bongo Movies wamewasili Jijini Mbeya kwa ajili ya Serengeti Fiesta Show 2012. Miongoni mwao ni Ray, Aunt Ezekiel, Shilola, na wasanii wengine kadhaa wa kadhaa bila kumsahau Msanii wa Kizazi Kipya Quick Raka. Johnson Jabir amepiga picha na wasanii hao.
WEMA SEPETU AKIWA VIBE OUTDOOR MBEYA
AUNT EZEKIEL AKIWA KATIKA POZI NDANI YA VIBE OUTDOOR
SHILOLE AKITAFAKARI JAMBO NDANI YA VIBE OUTDOOR MBEYA
JABIR JOHNSON NA AUNT EZEKIEL NDANI YA VIBE OUTDOOR MBEYA
RAY AKITAFAKARI JAMBO NDANI YA VIBE OUTDOOR MBEYA
QUICK RAKA, JABIR JOHNSON NA RAY NDANI YA VIBE OUTDOOR MBEYA
QUICK RAKA KATIKA POZI NJE YA VIBE OUTDOOR MBEYA
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA JANA ARUSHA BAADA YA RUFAA YA LEMA KUHAIRISHWA TAZAMA MATUKIO YOTE
Picha
juu na chini ni Msafara wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha mjini
Godbless Lema ukitokea mahakamani mkoani Arusha kuelekea ofisi za chama
huku ukisindikizwa na umati wa wafuasi wa CHADEMA baada ya kuahirishwa
kwa kesi inayomtuhumu.
Gari ya Godbless Lema ikisukumwa na wafuasi wa CHADEMA kuelekea ofisi za Chama mkoani humo.
Wednesday, September 19, 2012
JAY Z NA BEYONCE WAKICHATI NA OBAMA 40/40 CLUB
Al-Shabaab waweka watoto mstari wa mbele kabla ya mapambano huko Jowhar
Al-Shabaab inawateka watoto na kuwalazimisha kuchukua silaha kama sehemu ya jitihada zake za kulinda Jowhar kutofikiwa na vikosi vya Somalia na vya Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM), wakaazi wameiambia Sabahi.
Watoto wa Somalia, wanakumbana na umaskini na njaa, hususani wako katika uwezekano wa kuathirika kwenye uandikishaji wa wanajeshi kwa mujibu wa sheria za al-Shabaab. Picha iliyo hapo juu inaonyesha watu wakisubiri mgawanyo wa msaada wa chakula katika kambi huko kusini ya Mogadishu wakati wa baa la njaa mwezi Julai 2011 . [Mustafa Abdi/AFP]
Mwanaharakati wa haki za binadamu na watoto Mandeq Mohamed Hassan alisema al-Shabaab inategemea watu vijana kujaza safu zake za maaskari.
"Siwezi kukupa idadi halisi ya watoto wasio na hatia waliondikishwa na al-Qaeda nchini Somalia kwa sababu ni suala gumu sana na la hatari" aliiambia Sabahi . "Ninachoweza kusema, ni kwamba si chini ya asilimia 90 ya askari wote walioandikishwa katika kundi hili ni watoto wenye umri wa chini ya miaka 18 ambao wanatoka katika familia zinazokumbwa na umaskini na koo ndogo ambazo kisiasa hazina uwakilishi."
Watoto wa Somalia, wanakumbana na umaskini na njaa, hususani wako katika uwezekano wa kuathirika kwenye uandikishaji wa wanajeshi kwa mujibu wa sheria za al-Shabaab. Picha iliyo hapo juu inaonyesha watu wakisubiri mgawanyo wa msaada wa chakula katika kambi huko kusini ya Mogadishu wakati wa baa la njaa mwezi Julai 2011 . [Mustafa Abdi/AFP]
Mwanaharakati wa haki za binadamu na watoto Mandeq Mohamed Hassan alisema al-Shabaab inategemea watu vijana kujaza safu zake za maaskari.
"Siwezi kukupa idadi halisi ya watoto wasio na hatia waliondikishwa na al-Qaeda nchini Somalia kwa sababu ni suala gumu sana na la hatari" aliiambia Sabahi . "Ninachoweza kusema, ni kwamba si chini ya asilimia 90 ya askari wote walioandikishwa katika kundi hili ni watoto wenye umri wa chini ya miaka 18 ambao wanatoka katika familia zinazokumbwa na umaskini na koo ndogo ambazo kisiasa hazina uwakilishi."
MBELE YA KITUO CHA POLICE MSIGWA ATIKISA MJI WA IRINGA KWA MKUTANO WA NGUVU LEO
![]() |
Huu ndio ujumbe wetu kwako Mheshimiwa kama alivyo sikiki moja wa wananchi aliyekuwa na bango liki laani mauwaji ya Mwandishi Habari daudi Mwangosi |
![]() |
Umakini ukitawala eneo la mkutano |
Add caption |
Subscribe to:
Posts (Atom)