Friday, November 2, 2012

AJALI MBAYA:::WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI IMEZU INYALA MBEYA WAGONGWA NA ROLI NA KUFARIKI PAPO HAPO




Miili  ya wanafunzi wa shule ya msingi imezu ikichukuliwa na askali wa usalama barabarani ,watoto hao walikuwa wakivuka barabara akielekea shule ijapokuwa  roli lililo sababisha ajali haliku wimama nahivyo kukimbia kusiko julikana  huku miili ya watoto hao ikiwa imegawanyika vipandevipande ajali hiyo imetokea mida ya saa moja na nusu asubuhi

No comments:

Post a Comment