Wednesday, July 21, 2010

PIGO KUBWA KWA FAMILIA YA MR AGREY MWAMBUSI WA JIJINI MBEYA

Aliyekuwa mmiliki wa shule za St Agrey pamaja na chuo cha ualimu Agrey (Mr.Agrey Mwambusi) , alipata ajari  alipo akiludi nyumbani kwake baada ya kutoka kwenye sherehe ndogo ya kumpongeza mwanawe Mr Mboka Mwabusi, kwa kuludi kwake salama kutoka Africa ya kusini aliko kwenda kushuhudia mechezo ya fainali za kombela dunia 2010 . katika ajali hii ime semekana kuwa watu wawili wali poteza maisha pale pale akiwemo mke wa marehemu Agrey Mwambusi ambaye  amejeruhiwa vibaya sana

No comments:

Post a Comment