Saturday, February 13, 2010

MAMA MZAZI WA G- SOLLO AFARIKI DUNIA.


Mama yake mzazi msanii wa hip hop bongo G-Sollo amefariki dunia saa 5, usiku wa kuamkia leo mkoani Iringa, Shughuli zote za mazishi zinafanyika Dodoma nyumbani kwao G-Sollo. G-Sollo leo ilikuwa azinduwe kitabu chake cha 'HARAKATI ZA BONGO FLAVA NA MAPINDUZI' kwenye tamasha la Sauti za Busara lifanyikalo Zanzibar. Mpango mzima inampa pole G-Sollo na ipo naye pamoja katika kipindi hiki kigumu cha maombelezo. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMIN.

No comments:

Post a Comment