Wednesday, December 30, 2009

chukua hii




Utafiti uliofanywa hivi karibuni nchini Marekani unaonyesha kwamba matumizi ya mtandao (internet) kwa wazee yanaimarisha utambuzi (cognition) na kazi za ubongo wao. Utafiti huu ulihusisha wazee wa jinsia zote wenye umri kati ya miaka 55 na 78. Wazee hawa waligawanywa katika makundi mawili. Moja halikutumia mtandao na kundi jingine lilitumia mtandao mara kwa mara.
Matokeo yalionyesha kwamba kazi za ubongo wa wazee katika kundi ambalo lilikuwa linatumia mtandao mara kwa mara ziliimarika zaidi kuliko za wazee katika kundi ambalo halikutumia mtandao. Mabadiliko makubwa yalionekana katika sehemu za ubongo zinazoshughulika na kumbukumbu (memory), lugha, kusoma na upambanuzi.
Matokeo haya yamewafurahisha wanasayansi na wanasema kwamba pengine matumizi ya mtandao yanaweza kuwa silaha mojawapo dhidi ya magonjwa yanayosababishwa na upotevu wa kumbukumbu na utambuzi kama vile Alzheimer.



Sina uhakika kama kweli wazee wa Kiafrika wanahitaji mtandao kuimarisha kazi za ubongo wao. Mimi nadhani kwamba michezo kama vile bao, drafti na hata kuhesabu ng’ombe wanaporudi nyumbani kila jioni ni mazoezi tosha yanayoweza kusisimua kazi za ubongo, mazoezi ambayo yamesaidia kuwafanya wazee wengi wa Kiafrika kubakia makini kiutambuzi (cognitively) hata katika umri mkubwa. Sijui kama tulikuwa na wagonjwa wengi wa Alzmeimer barani Afrika kabla ya hili wimbi jipya la utandawazi tunaolishuhudia kwa sasa.

Sunday, December 20, 2009

Jada Kiss kuwa Rocafella/Ruff Ryders



Ni maneno aliyo yasema Jay z kwama Jada Kiss ame saini mkataba ili kuunganisha nguvu kati ya Rocafella naRuff Ryders as yuko mbioni ku taya lisha album yake mpya ambayo bado haja ipatia jina rasmi na ikomwishoni kukamilika.

Thursday, December 10, 2009

Is Your Money Really Safe in the Bank?

Seems that even financial gurus are hurting in this economic downturn. Suze Orman recently teamed up with the FDIC in an endorsement campaign engineered to assure you that your money is safe in US banks. But as Robert says in his latest Conspiracy of the Rich bulletin, while your money might be physically safe in the bank – you could still be losing.

"Suze claims that no one has lost money deposited in a bank that was insured by the FDIC. That may be true, but how do you define losing money? The true picture is that the Fed is printing trillions of dollars. This means you may not be losing your dollars, but your dollars are being diluted with trillions in counterfeit money. Parking your dollars in an insured bank causes them to lose purchasing power as commodities such as gold and oil are going up in price. "

Monday, December 7, 2009

NISIMANZI KUBWA KWA MASHABIKI WA MIALEKA


Edward Fatu kutoka visiwa vya Samoa almaarufu kwa jina la UMAGA ambaye ni bingwa wa zamani wa michuano ya mieleka amefariki dunia baada ya kupatwa na shinikizo la damu.

Inasemekana alishikwa na usingizi wakati akitazama televisheni Al-hamis usiku, alikutwa na mkewe masaa kadhaa baadaye akiwa hapumui huku damu zikimtoka puani na kuamua kumkimbiza katika hospitali ya jirani. Umaga amefariki akiwa na umri wa miaka 36.

Tuesday, December 1, 2009

HIVI NDIVYO ILI VYO KUWA FIESTA MBEYA

Mashabiki kibao
Wana mwitaga Mr Kabaisa

Quick Racka on stage
FID Q akikamua
Baby madaha a. k.a Baby Maswager
Chege nae hakuwa nyuma
Mzee wa Shigide

Mwamba wa kaskazini ali funika mbovu