Dwork's corner

Saturday, February 9, 2013
NEW TRACK KUTOKA KWA MTAFYA--- JE UMEJIPANGA? MSANII MWINGINE MKALI KUTOKA MBEYA CITY ANAEWAKILISHA VIZURI SASA KITAIFA the comin star in TZ HIP HOP STAND UP
Ushaskia hii bas sikiliza na kudownload hapa official Audio ya MTAFYA - JE UMEJIPANGA? {official Audio} the comin star in TZ HIP HOP STAND UP
Friday, November 2, 2012
AJALI MBAYA:::WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI IMEZU INYALA MBEYA WAGONGWA NA ROLI NA KUFARIKI PAPO HAPO
Miili ya wanafunzi wa shule ya msingi imezu ikichukuliwa na askali wa usalama barabarani ,watoto hao walikuwa wakivuka barabara akielekea shule ijapokuwa roli lililo sababisha ajali haliku wimama nahivyo kukimbia kusiko julikana huku miili ya watoto hao ikiwa imegawanyika vipandevipande ajali hiyo imetokea mida ya saa moja na nusu asubuhi
Thursday, November 1, 2012
MAUWAJI YA KINYAMA IRINGA ,DEREVA BODA BODA AUWAWA
Askari wakitazama Helment ya dereva boda boda iliyokuwa imeweka juu ya miti |
mwili wa Dereva boda boda Abeli Nyunza aliyeuwawa ukiwa umetupwa katika korongo |
Polisi wakiwa eneo la tukio |
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la Muungano Frelimo mjini Iringa jirani na shule ya msingi Muungano.
Wakielezea juu ya tukio hilo mashuhuda waliozungumza na mtandao huu wamedai kuwa majira ya usiku walisikia mlio wa pikipiki na ghafla ulizimika na baada ya hapo ilisikika sauti ikiita kwa nguvu Peter ! Peter ! mfano wa mtu aliyekuwa akiomba msaada na baada ya dakika kama 10 hivi ukimya ulitanda na ghafla ulisikika mlio wa pikipiki ukiondoka kwa kasi.
Mwenyekiti wa boda boda mjini Iringa Macurius Chengulla mbali ya kuthibitisha kifo cha dereva boda boda mwenzao huyo bado amesema kuwa wameweka mkakati wa kuendesha msako ili kuwabana wahusika wa mauwaji hayo.
Chengulla amesema kuwa matukio hayo ya kuuwawa kwa madereva boda boda kwa Manispa ya Iringa ni tukio la kwanza kwa mwaka huu japo matukio ya kutekwa na kujeruhiwa yamekuwa yakitokea . Picha zote kwa hisani ya Francis Godwin blog
Thursday, October 4, 2012
MBEYA LEO TUMEPATA MSIBA MKUBWA SANA,TUMEONDOKEWA NA RAFIKI WA WATU,FATHER SLAATS (84) AMBAYE ALIKUWA KATIBU WA ASKOFU KANISA KATOLIKI JIMBO LA MBEYA MJINI
![]() |
.pichani Mh mbilinyi alipomtembelea kwenye makazi yake mara ya mwisho Jumapili ya tar 16 Sept,ambapo father alimuombea kama ilivyo kuwa kawaida yake waki kutana ... |
TANZIA: MBEYA LEO TUMEPATA MSIBA MKUBWA SANA,TUMEONDOKEWA NA RAFIKI WA WATU,FATHER SLAATS (84) AMBAYE ALIKUWA KATIBU WA ASKOFU KANISA KATOLIKI JIMBO LA MBEYA MJINI...FATHER SLAATS NI MHOLANZI LAKINI ALIIPENDA SANA TANZANIA NA HATA KUCHAGUA KUFIA TANZANIA NA ZAIDI MBEYA...BINAFSI NIMEMPOTEZA MZEE WANGU NA RAFIKI YANGU MKUBWA NA ZAIDI ALIKUWA MSHAURI WANGU MZURI NA MUHIMU ALWAYS..FATHER SLAATS NDIYE MUANZILISHI WA PAROKIA KUBWA YA RWANDA MJINI MBEYA AMBAKO ALIANZA NA KANISA DOGO NA SASA KUNA UJENZI WA KANISA KUBWA UNAENDELEA...R.I.P BABA PAROKO FATHER SLAATS...RAHA YA MILELE AKUPE BWANA,NA MWANGA WA MILELE ATAKUANGAZIA....
Wednesday, October 3, 2012
Diamond Sasa Rasmi Chini Ya I-view media studios
Friday, September 28, 2012
VIDEO MPYA YA IZZO BIZNESS KUANZA KURUSHWA LEO
Izzo Bizness ft. Belle 9 - Utarudishwa video ambayo inatarajiwa kutoka leo katika tv stesheni zote hapa Bongo na kwenye Social Networks pia utaweza kuiona video hiyo. Video imefanywa na kampuni ya
E-Media chini ya Dir Nick Dizzo, na ni video kali kweli kweli
Thursday, September 27, 2012
HONGERA KAKA MKUBWA SUGU KWA KUPATA MTOTO WA ( SASHA-DESDERIA J. MBILINYI ) KIKE
Amazing grace!..I thank GOD for giving me a baby girl born today on 26th Sept,her name is SASHA-DESDERIA J. MBILINYI..she is my new darling and my everything now...May God also bless me and her monther Faiza so we can live longer enough to see her grow... hii ni kutoka kwenye Facebook page ya SUGU
Subscribe to:
Posts (Atom)