![]() |
.pichani Mh mbilinyi alipomtembelea kwenye makazi yake mara ya mwisho Jumapili ya tar 16 Sept,ambapo father alimuombea kama ilivyo kuwa kawaida yake waki kutana ... |
TANZIA: MBEYA LEO TUMEPATA MSIBA MKUBWA SANA,TUMEONDOKEWA NA RAFIKI WA WATU,FATHER SLAATS (84) AMBAYE ALIKUWA KATIBU WA ASKOFU KANISA KATOLIKI JIMBO LA MBEYA MJINI...FATHER SLAATS NI MHOLANZI LAKINI ALIIPENDA SANA TANZANIA NA HATA KUCHAGUA KUFIA TANZANIA NA ZAIDI MBEYA...BINAFSI NIMEMPOTEZA MZEE WANGU NA RAFIKI YANGU MKUBWA NA ZAIDI ALIKUWA MSHAURI WANGU MZURI NA MUHIMU ALWAYS..FATHER SLAATS NDIYE MUANZILISHI WA PAROKIA KUBWA YA RWANDA MJINI MBEYA AMBAKO ALIANZA NA KANISA DOGO NA SASA KUNA UJENZI WA KANISA KUBWA UNAENDELEA...R.I.P BABA PAROKO FATHER SLAATS...RAHA YA MILELE AKUPE BWANA,NA MWANGA WA MILELE ATAKUANGAZIA....