Monday, September 14, 2009

Tafakali ya leo

Una ambiwa ukali wa ndimu ndio ladha yake

Kimondo kilichopo Tanzania ( Mbozi -Mbeya)


Niutajili tuliojaliwa na mungukatupati watanzania (Mbeya) . Tunastahili kulinga kwa kimondo hiki ambacho ni cha saba kwa ukubwa Duniani . Nivizuri kutembelea vivutio vya kwetu vilivyopo nchini mwetu jamani (Tantania)

Thursday, September 10, 2009

Jamani Mwakalibishwa sana

Haya haya watu wa Mbeya na maeneo menine ninawakalibisha kwa moyo wote kwenye blog yangu Nahitajiu maoni naushauli kutoka kwenu ili kulisongesha hili guludumu
thanks all